Psalms 2:8-9

8 aNiombe, nami nitayafanya mataifa
kuwa urithi wako,
miisho ya dunia kuwa milki yako.
9 bUtawatawala kwa fimbo ya chuma
na kuwavunjavunja kama chombo cha mfinyanzi.”
Copyright information for SwhNEN